Pages

Thursday, August 8, 2013

MAGEREZA MSHINDI WA KWANZA WA JUMLA MAONESHO YA NANE.

photo 745b0
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la
 Magereza, Mlasani Kimaro akinyanyua juu 
 Kikombe cha Zawadi ya Mshindi wa kwanza
 wa jumla katika Maonesho ya Wakulima-Nane 
Nane baada ya kukabidhiwa na Mgeni rasmi
 Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya
 Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Iddi katika
 Kilele cha sherehe za Maonesho ya 
Nane Nane Kitaifa, yaliyofanyika Uwanja wa Nzuguni, Dodoma.
(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).

No comments:

Post a Comment