Pages

Wednesday, August 7, 2013

MFANYA BIASHARA WA MADINI ARUSHA APIGWA RISASI

                                    Mwili kulia mara baada ya kupigwa risasi.
 Mwili wa Erasto Msuyammiliki wa SG HOTEL Mkoani Arusha mara baada ya kupigwa risasi zaidi ya sita na watu wasiojulikana na kufa hapo hapo
Askari wakichunguza tukio la kupigwa risasi kwa mfaya biashara huyo.

PICHA KWA HISANI YA MDAU MUTOTO WA ARUSHA

No comments:

Post a Comment