MOTO MKUBWA WATEKETEZA MARANGU PLAZA LODGE ILIYOPO GONGO LA MBOTO JIJINI DAR.
Marangu Plaza Lodge wakati ikiungua kwa moto.
Sehemu ya wananchi wakishuhudia moto huo.
Mabati yakianguka wakati wa moto huo.
Moto mkubwa umeteketeza hoteli (Lodge) ya Marangu Plaza iloyopo Gongo
la Mboto jijini Dar es Salaam saa nane usiku wa kuamkia leo. Chanzo cha
moto pamoja na mali zilizoteketea bado havijajulikana.
No comments:
Post a Comment