Pages

Tuesday, August 27, 2013

RAIS KIKWETE AMWAPISHA MSAJILI MPYA WA VYAMA VYA SIASA.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es Salaam.
mu2 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimmshuhudia  Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi  wakati akitia saini mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.mu4 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimmkabidhi vitendea kazi  Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es Salaam.
mu7 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na  Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi na viongozi wa vyama vya siasa Ikulu jijini Dar es Salaam.
 IMG_1836 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Jaji Francis Mutungi na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Mhe John Tendwabaada ya kumuapisha Jaji Mutungi Ikulu jijini Dar es Salaam.
(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment