Pages

Monday, August 19, 2013

WAISLAM WATAKA KUGOMA KUIPA KURA CCM 2015 SABABU IKIWA NI..


Waislam wakutana Mwembeyanga na kuazimia kuinyima kura CCM 2015
Mkutano wa Waislamu ulikuwa ukifanyika Mwembeyanga siku ya leo, pamoja na maazimio mengine; umeamua kuwa waislamu wote wasiipe kura CCM 2015
lakini vile vile wametangaza kuratibu maandamano nchi nzima kupinga kile waliichokiita uonevu dhidi ya Sheikh Ponda…

Source: Aloyce Mpandama (The Guardian Reporter) Eneo la Tukio

No comments:

Post a Comment