Wakali mbalimbali wa muziki
wa bongo fleva na band Tanzania watajikuta kwenye jukwaa moja jumamosi
hii ya ta 7 - 09, pale leaders club kinondoni kwenye tamasha kubwa la
wazi akiongea na mratibu wa tamasha hilo kutoka katika kampuni ya masoko
OTHMAN MADATI alisema'' tamasha hilo litaanza saa 3 asubuhi na kutakuwa
na burudani mbalimbali ikiwemo ile ya band tutakuwa nao WAZEE WA
NGWASUMA, na kwa upande wa bongo fleva Atakuwepo Mwanadad mwenye nyonga
laini SNURA wa MAJANGA, na nimevurugwa ,DIAMOND
PLATNUM,SHELTA,H-BABA,SUMA MNAZALETI.kiingilio ni BUREEEEEE kabisa pia
kutakuwa na huduma ya upimaji wa afya na uduma zingine mbalimbali.''
alisema bwana madati.
No comments:
Post a Comment