Pages

Sunday, September 29, 2013

KWA HIZI PICHA 20 ZA FIESTA MWANZA NI WAZI JAMAA WAMEVUNJA REKODI MWAKA 2013.

22Kiukweli hii ni moja ya show zilizovunja rekodi Fiesta 2013 mtu wangu, muchlove sana kwenu watu wetu wa nguvu 88.1 Mwanza
21 
Hii picha ya pili inaonyesha upande wa kushoto wa stage yani… daaah!
20
19Imagine hapa ni upande wa kulia wa stage…
18Upande wa kushoto wa stage
23Shilole kazini
17 
Dj Fetty na B12 kutoka XXL ya Clouds FM ndio walihost show
16Cassim Mganga
15 
Linah kwa stage!
14Makomando walifanya show kali kama kawaida yao na kutamba juu…
13 
Kala Jeremih..
12Nikki wa II
6 
H Baba kazini
7
8Rich Mavoko
9 
Mr. Blue
10Young Killer Mwanza Mwanza
11Quick Rocka
5Chege na Temba
4 
Joh Makini
3 
G Nako na Joh Makini
2 
Ney wa Mitego
1
2

No comments:

Post a Comment