Tazama picha mbalimbali za mwadada Elizabeth Michael- LULU akiwa
jijini Mwanza kwenye semina ya FURSA inayoandaliwa na kituo cha redio
cha clouds FM.Semina hiyo imeandaliwa kwa ajili ya wajasilimali mbalimbali
mkoani humo waweze kuzitumia fursa mbalimbali zilizopo kwenye mazingira
yao.Lulu alikuwa mmoja wa wazungumzaji waalikwa wa semina hiyo.
No comments:
Post a Comment