Pages

Tuesday, September 17, 2013

SHEIKH PONDA ANYIMWA DHAMANA, ARUDISHWA MAHABUSU


Sheikh Ponda lssa Ponda (kushoto) akiongea na wakili wake mahakamani leo.

Ponda akiwa mahakamani mkoani Morogoro.
KATIBU wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Nchini, Sheikh Ponda lssa Ponda, amerudishwa mahabusu baada ya kunyimwa dhamana leo katika kesi yake iliyoendelea kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawdhi mkoa wa Morogoro.
 

Kama kawaida umati mkubwa wa wananchi wengi wao wakiwa waumini wa dini ya kiislamu ulifurika kwenye mahakama kusikiliza kesi hiyo namba 128 ya mwaka 2013 ambayo imeahirishwa hadi Oktoba 1 mwaka huu.
(Picha na Dustan Shekidele / GPL, Morogoro)

No comments:

Post a Comment