Pages

Friday, September 27, 2013

TWIGA CEMENT WAMKABIDHI SARUJI MISS TANZANIA 2013, KWAAJILI YA UJENZI WA BWENI SHULE YA ALBINO BUHANGIJA

Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa (kushoto) akipokea mfano wa vocha ya kuchukulia saruji mifuko 300 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Twiga, Pascol Lesoinne (kulia)Dar es Salaam jana kwaajili ya ujenzi wa Bweni la wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) linalojengwa katika shule ya Msingi Buhangija mkoani Shinyanga. Wengine pichani ni Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert  Makoye na Meneja Mahusiano ya Jamii wa Twiga Cement, Natasha Dsouza. Ujenzi wa Bweni hilo ni mradi wa Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred ambao upo mbioni kukamilika.

No comments:

Post a Comment