Pages

Thursday, September 19, 2013

UJUMBE UNAOSAMBAA KWA KASI KUTOKA KWA AGNES MASOGANGE MUDA HUU,HUU HAPA

Hii ni post aliyoiweka Agnes Masogange kwenye ukurasa wake wa FB na imeanza kusambaa kwa kasi kupitia wasanii mbalimbali.
Je yawezekana wametoka?Au ndio zile fununu kuwa wanapiganiwa kesi yao irejee nchini?
Tungoje kama ni kweli ama uzushi

No comments:

Post a Comment