Pages

Sunday, October 20, 2013

ARSENAL YAUA 4-1, WILSHERE AFUNGA BAO LA MSIMU, OZIL APIGA MBILI.

WAWEZA kusema lolote kuhusu Arsenal kwa sasa, lakini kubwa ni kwamba iko vizuri. The Gunners leo wameua 4-1 Norwich Uwanja wa Emirates na kupanda kileleni mwa Ligi Kuu ya England, utamu zaidi ni bao la Jack Wilshere ambalo moja kwa moja linaingia kwenye kinyang'anyiro cha bao bora la msimu.
 
Wilshere alifunga dakika ya 18, mchezaji ghali wa Arsenal, Ozil akafunga mawili dakika ya 58 na 88 na lingine Ramsey dakika ya 83, wakati la Norwcih lilifungwa na Howson dakika ya 70.
 
Kikosi cha Arsenal ilikuwa: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Arteta, Flamini/Ramsey dk37, Wilshere, Ozil, Cazorla/Rosicky dk59 na Giroud/Bendtner dk78.
 
Norwich: Ruddy, Martin, Turner, Bassong, Olsson, Tettey/Hoolahan dk79, Snodgrass,Howson, Fer, Pilkington/Redmond dk70 na Hooper.
La kwanza: Jack Wilshere akishangilia baada ya kuifungia Arsenal
Finishing off: Wilshere scored after a good passing move
Anamalizia: Wilshere alifunga baada ya gonga safi
Easy does it: Wilshere guides the ball into the corner of net
Bao la msimu: Wilshere akifunga bao tamu
All smiles: Olivier Giroud celebrates with Wilshere
Furaha tupu: Olivier Giroud akishangilia na Wilshere
Fight for the ball: Sebastien Bassong holds off Giroud for Norwich
Kugombea mpira: Sebastien Bassong akipamabana na Giroud 
High jump: Giroud, rises highest to win the ball in the air
Ruka juu: Giroud, akienda hewani kuwania mpira wa juu
Head first: Mesut Ozil gets a second goal for Arsenal
Kichwa kwanza: Mesut Ozil akiifungia bao pili Arsenal
Easy does it: Ozil celebrates his goal for Arsenal
Kiulaini: Ozil akishangilia bao lake Arsenal
Making the difference: Ozil celebrates doubling Arsenal's advantage
Analeta tofauti: Ozil akishangilia bao la pili aliloifungia Arsenal
Pulling one back: Norwich's Jonny Howson scored a goal to make it 2-1
La kufutia machozi: Jonny Howson aliifungia Norwich la kufutia machozi

No comments:

Post a Comment