Kwa
taarifa tulizozipata hivi sasa ni kwamba Jamal Malinzi ameshinda kitu
cha urais wa shirikishi la soka nchini TFF baada ta kumshinda mpinzani
wake Athumani Nyamlani. Pia Wallace Karia amewabwaga Iman Madega na
Ramadhan Nassib katika kiti cha umakamu, kwa taarifa zaidi endelea
kutembelea mtandao huu.Habali kamili kuwajia bdae hapa.

No comments:
Post a Comment