Pages

Tuesday, October 8, 2013

Kampeni ya "Nani Mtani Jembe?" inaendelea,cheki hapa.

 
Kampeni ya "Nani Mtani Jembe?" inaendelea, wakati wewe shabiki ukiiwezesha timu yako kuibuka na kitita kikubwa, wewe pia una nafasi ya kushindania milioni 2 zilizotengwa kwa ajili ya mashabiki kila wiki. Unachotakiwa ni kutuma mara nyingi jina la timu yako likifuatiwa na namba zilizo chini ya kizibo cha Kili kwenda 15440 na moja kwa moja utaingia kwenye droo.

No comments:

Post a Comment