Pages

Wednesday, October 9, 2013

LINAH AVALISHWA PETE YA UCHUMBA NA BOSS MOJA HAPA BONGO

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Estelina maarufu kwa jina la Linah,aamua kuvunja ukimia na kuwa muwazi kwakuanika pete ya uchumba mbele ya kadamunasi na kupigwa picha akionyesha pete hiyo,huku akidai pete hiyo amevalishwa na mwanaume mmoja mwenye mkwanja mrefu aliopo hapa hapa bongo na  ivikaribuni ata mweka wazi kwa jina maana ndoa yao inakaribia...

No comments:

Post a Comment