Pages

Tuesday, October 29, 2013

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WATOA POLE KWA MJANE NA FAMILIA YA BALOZI ISAAC SEPETU.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa Balozi Isaac Sepetu, Mama Miriam Sepetu, alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es Salaam jana, kutoa pole kwa mjane huyo na familia ya Marehemu Sepetu aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa wanafamilia wa Balozi Isaac Sepetu alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es Salaam jana, kutoa pole kufuatia msiba Marehemu Sepetu aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa Balozi Isaac Sepetu alipokwenda  nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es Salaam, kutoa pole kufuatia msiba Marehemu Sepetu aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa Balozi Isaac Sepetu  alipokwenda  nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es Salaam jana, kutoa pole.
Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa Balozi Isaac Sepetu nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji  mjane wa Balozi Isaac Sepetu, Mama Miriam Sepetu, alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es Salaam jana, kutoa pole kwa mjane huyo na familia ya Marehemu Sepetu aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment