Pages

Wednesday, October 9, 2013

WEMA, DIAMOND WAMERUDIANA CHEKI PICHA HIZI HAPA WAKILA BATA.

BAADA ya habari kuenea kuwa Diamond PLatnumz amerudiana na Wema walipokuwa WAKILA BATA na Baadae Platnumz kukanusha habari hiyo kupitia website yake, hatimaye 2jiachie.com imepata picha za Diamond na C.E.O wa Endless Fame Wema Sepetu wakiwa kwenye pozi tofauti tofauti za kimahaba nchini humo.
Picha inawaonesha Diamond na Wema wakiwa wamevaa Mapajama (nguo za kulalia) sehemu kama hotelini hivi na nyingine ikimuonesha Diamond akim-kiss Wema wakiwa kitaa. Lakini Diamond ni real boyfriend wa Penny…
HABARI NA 2JIACHIE.COM

No comments:

Post a Comment