Pages

Saturday, October 19, 2013

ZIARA YA RAIS KIKWETE MKOANI NJOMBE

Rais Jayaka Mrisho Kikwete akikagua sehemu mbalimbali za kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua  Oktoba 18, 2013.
Rais Jayaka Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara baada ya kufungua  kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua Oktoba 18, 2013.  

Rais Jayaka Mrisho Kikwete akifurahi baada ya kufungua kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe  Oktoba 18, 2013.
(PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment