MAMLAKA YA HALI YA HEWA YATOA TATHMINI YA MUELEKEO WA MVUA KWA KIPINDI CHA JANUARI HADI MACHI, 2014
Mkurugenzi
mkuu wa mamlaka ya hali ya hewa nchini, Dkt. Agness Kijazi (kulia)
akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya tathmini ya mvua
kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2014.
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakimsikiliza mkurugenzi wa mamlaka ya hali ya hewa.
No comments:
Post a Comment