Pages

Sunday, April 13, 2014

AJALI: ELCOPTA YA POLISI....BREAKING NEWS


Kuna habari imetufikia hivi punde Elcopta ya polisi imeanguka taifa wakati wanataka kwenda kukagua mafuriko!
Ndani ya elcopta walikuwepo kamanda Kova, makamu wa rais na mkuu wa mkoa Said Meky!  habari kamili na picha usikae mbali.

No comments:

Post a Comment