MADOGO wawili wenye uwezo mkubwa kimuziki, Dogo Lila na Dogo Hilal wamepiga shoo ya ukweli katika ukumbi wa Dar Live jioni hii. Dogo Lila ambaye ana kipaji cha kuimba na kucheza kwa sasa anasomeshwa na staa wa muziki Bongo, Diamond Platnumz katika shule ya East Africa International. Madogo hawa wote wanasoma shuleni hapo Lila akiwa darasa la nne, Hilal la tano.
No comments:
Post a Comment