Mashabiki
wa Yanga SC wakiwa wamenyong'onyea baada ya Ruvu Shooting kuchapwa
mabao 3-0 na Azam FC jioni ya jana Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani
Pwani. Yanga iliiombea Azam ifungwe ili wapate nafasi ya kutetea ubingwa
wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Lakini dua lakuku halikumpata
mwewe. |
No comments:
Post a Comment