Pages

Saturday, April 19, 2014

MABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA LEO PTA SABASABA, DAR ES SALAAM

Bondia Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya leo April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam
Bondia Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli kwa mkono na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam
Bondia Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand kulia wakipeana salamu ya heshima na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Mustafa Doto utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam 
Bondia Mustafa Dotto kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'KIng class Mawe' kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 siku ya jumamosi  
Bondia Mustafa Dotto kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'KIng class Mawe' kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 siku ya jumamosi 
Bondia Mfaume Hamad kushoto akitunishiana misuli na Godfrey Sadiki kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 siku ya jumamosi  
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' KUSHOTO ALIESIMAMA AKISHUDIA MPINZANI WAKE AKIPIMA AFYA
PROMOTA WA MPAMBANO MUSSA KOVA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MPAMBANO HUO
BONDIA FRANSIC MIYEYUSHO AKIZUNGUMZA
MIYEYUSHO  AKIPIMA UZITO
MIYEYUSHO

No comments:

Post a Comment