Pages

Saturday, April 12, 2014

MAFURIKO JANGWANI LEO


Sehemu ya kingo za barabara zikionekana kumegwa na mafuriko hayo.
Baadhi ya nyumba zilizoathirika kutokana mafuriko kutokana na mvua zinazoendelea.

Mkazi wa Jangwani akihojiwa na waandishi wa Global Tv.
Mmoja wa waathirika wa mafuriko akiwaelekeza waandishi wetu jambo.
Wakati wengine wakihangaika kujinusuru kutokana na mafuriko hayo, hawa walipata riziki kwa kukusanya viroba vilivyozolewa na mafuriko hayo kutoka sehemu mbalimbali na kuviuza.
Ikiwa takribani mwezi tangu mamlaka ya hali ya hewa na utabiri itoe taarifa ya kuwepo kwa mvua kali jijini, Kamera yetu leo hii ilishuhudia maafa makubwa katika eneo la Jangwani.
(Picha: Chande Abdallah na Denis Mtima)

No comments:

Post a Comment