Mama mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mapema amewashangaza madaktari na wauguzi wa hospitali ya Kailuki jiji baada ya kukataa katakata kuamini kuwa mama yake mzazi amefariki dunia.
Tukio hili la aina yake linaendelea hapo hospitali ambapo inasemekana mama yake aliyejulikana kwa jina la Elitha Kaizilege amefariki dunia tangu saa mbili asubuhi, lkn mtoto wa marehemu huyo amewaita waumini wenzie wa kanisa la Ufufuo na uzima na kuanza kufanya maombi tangu asubuhi mpk muda huu wakitaka marehemu aamke na hata kama amefariki basi afufuke. Habari zaidi na picha zitawajia baadae.
No comments:
Post a Comment