Pages

Friday, April 25, 2014

Uwekaji wa jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Awamu ya Tatu ya Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere wa Dar es Salaam

 Rais Kikwete akisalimiana na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk.Charles Tizeba 
 Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Mjini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uchukuzi Mhe Peter Serukamba
 Rais akisalimiana na Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa
 Rais Kikwete akisalimiana na Diwani wa Kata ya Kipawa, Mhe Bonnah Kaluwa
 Rais Kikwete akisalimiana na mmoja wa maofisa waandamizi wa mamlaka ya viwanja vya ndege
 Rais Kikwete akielekea jukwaa kuu pamoja na Balozi wa Uholanzi nchini Mhe Jaap Frederiks na Waziri wa Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe
 Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege wakiwa wameupuna kwenye hafla hii
 Burudani
 Wadau mbalimbali akiwemo mkongwe Paul Lyimo (kuli) kwenye hafla hii
 Taswirazzz
 Wadau
 Mkurugenzi Mkuu  Kampuni ya Kuhudumia ndege, abiria na mizigo ya  Swissport Tanzania Tanzania Limited, Gaudence Temu (kulia) na wadau wengine
 Sehemu ya wadau
 Wadau mbalimbali
 Maofisa mbalimbali wa huduma za viwanja vya ndege
 Wadau
 Wadau
 Rais Kikwete na viongozi wengine katika meza kuu
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania, Mhandisi  Suleiman Suleiman akikaribisha wageni
 Wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi wa uwanja wa ndege
 Wafanyakazi wa uwanja wa ndege
 Wafanyakazi wa uwanja wa ndege
 Wajenzi na Wafanyakazi wa uwanja wa ndege
 Wafanyakazi wa uwanja wa ndege na wajenzi

No comments:

Post a Comment