
Mwanamazingaombwe Profesa Calabash baada ya kumchinja kuku tayari kwa kumpika bila kutumia moto.

Profesa Calabash akimnyonyoa kuku kwa ajili ya kumpika bila kutumia moto.

Watoto wakifuatilia mazingaombwe kutoka kwa Profesa Calabash.

...Kuku baada ya kuchinjwa.

Profesa Calabash akitoa maelekezo ya shindano la kupanga herufi.

Watoto walioibuka kidedea katika shindano la kupanga herufi lililokuwa linaendeshwa na Profesa Calabash.
No comments:
Post a Comment