Pages

Saturday, May 17, 2014

GET WELL SOON JACKIE

Msanii wa filamu za kibongo Jackie Pentezen amelazwa hoi hospital ya Agha Khan mjini Morogoro akisumbuliwa na homa ya matumbo, typhod na maralia!
Mume wake Jakie, Dibibi amethibitisha hilo kwa kusema mke wake amelazwa hospitali hapo tangu jana saa 8 mchana na mpaka muda huu bado yupo hospitalini akiendelea na matibabu!
IRENE MWAMFUPE JAMII BLOG INAKUOMBEA UPONE HARAKA JACKIE

No comments:

Post a Comment