Pages

Friday, May 30, 2014

MWANAFUNZI UDSM AFARIKI ALIPOKUWA AMEJIPUMZISHA

Mwanafunzi  wa UDSM Sakabenga Mwakimenya afariki akiwa usingizini alipokuwa amejipumzisha mchana wa leo!
Marafiki zake wa karibu wamesema, Sakabenga aliwaaga kuwa anakwenda kupumzika kidogo lkn ana kipindi saa saba kamili hivyo anaomba muda ukifika wamwamshe!
Saa 7 ilipofika rfk yake alikwenda kumuamsha lkn akashangaa Sakabenga alikuwa amefariki huku akiwakashika ufunguo wake!

No comments:

Post a Comment