ALGERIA YANUSA 16 BORA KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUWACHAPA KOREA 4-2
Islam
Slimani wa Algeria akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la
kwanza dhidi ya Korea Kusini usiku huu katika ushindi wa 4-2 mchezo wa
Kundi H Kombe la Dunia nchini Brazil. Algeria inapanda nafasi ya pili
kwa pointi zake tatu, nyuma ya Ubelgiji yenye pointi sita, Urusi na
Korea zina pointi moja kila mmoja. Algeria itamaliza na Urusi mechi ya
mwisho ya kundi hilo.
No comments:
Post a Comment