BENKI YA EXIM SHINYANGA YASAFISHA SOKO KUU SHINYANGA KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
Wafanyakazi wa Benki ya Exim ya Tanzania Tawi la Shinyanga wakisafisha
eneo la Soko Kuu mkoani humo katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani
ambayo uadhimishwa kila ifikapo tarehe 5 mwezi wa 6 kila mwaka.
No comments:
Post a Comment