Pages

Sunday, June 1, 2014

GEORGE TYSON KUAGWA LEADERS CLUB, KUZIKWA KISUMU NCHINI KENYA

Mwili wa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu nchini, George Tyson utaagwa katika Viwanja vya Leaders na baadaye utasafirishwa kwenda nchini Kenya kwa mazishi. Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Tyson atazikwa Kisumu, Kenya Juni 7 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment