Pages

Wednesday, June 25, 2014

MATAIFA 31 KUSHIRIKI MAONESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM (MAARUFU KAMA SABASABA)

MKURUGENZI Mkuu wa  Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Jacquiline Maleko, akizungumza na waandishi wa haabari kuhusiana na kuingia Ubia na kampuni  ya Mawasiliano ya Vodacom, Kama mdhamini Mkuu wa Mawasiliano wakati wa maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yatakayo anza 28 juni na kumalizika julai 8 mwaka huu. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Masoko wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa.
MKURUGENZI Mkuu wa  Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Jacquiline Maleko na Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Masoko wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa, wakioneshwa na Mwanasheria wa TanTrade, Godwin Mutahangarwa,(Kushoto) Mkataba wa Udhamini wa maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yatakayo anza 28 juni na kumalizika julai 8 mwaka huu.
MKURUGENZI Mkuu wa  Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Jacquiline Maleko, akipitia Mkataba wa Udhamini wa maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yatakayoanza 28 juni  na kumalizika julai 8 mwaka huu. Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa (Kulia) na Mwanasheria wa TanTrade, Godwin Mutahangarwa (Katikati)

MKURUGENZI Mkuu wa  Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Jacquiline Maleko, na Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa, wakibadilishana mkataba wa Udhamini wa maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yatakayoanza 28 juni  na kumalizika julai 8 mwaka huu. Kushoto ni Mwanasheria wa TanTrade, Godwin Mutahangarwa.

No comments:

Post a Comment