
Anicetus
M. Busagi akimtambulisha mkewe Levina A. Mtei kwa wageni waalikwa
katika hafla ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.

Mhariri
Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo Apata, Anicetus M. Busagi
akiwa na mkewe Levina A. Mtei katika hafla kabambe ya harusi yao
iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Lunch Time.

Mhariri
Mtendaji Mtendaji wa Gazeti la Jambo Leo Apata, Anicetus M. Busagi
akilishana keki na mkewe Levina A. Mtei katika hafla ya harusi yao
iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.

Anicetus
M. Busagi na mkewe Levina A. Mtei wakipeleka zawadi ya keki kwa wazazi
wa mkewe ikiwa ni ishara ya kuwashukuru wakwe zake.

Anicetus
M. Busagi kimtambulisha mkewe Bibi harusi, Levina A. Mtei
akiwatambulisha ndugu jamaa na marafiki kwa wageni waalikwa katika hafla
ya harusi yao iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.

Bi harusi Levina A. Mtei akiwa na msimamizi wake.

Wasimamizi wa maharusi wakiandaa keki ya maharusi kabla ya zoezi la kulishana kuanza.


Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa.


Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa.

Picha za kumbukumbu na makundi mbalimbali ya wageni waalikwa.


Mwenyekiti wa kamati ya vinywaji Edson Kamukara akisakata rumba eneo lake la kazi...! Furaha ikizidi ni hatari.

Meza ya wazazi wa Levina Mtei.
Wageni waalikwa.


Ni wakati wa kufungua mvinyo maalum wa harusi.

Mbwembwe za mfungua mvinyo...ni habariiiii...!

Baadhi ya wageni waalikwa wakipata picha ya kumbukumbu na bi harusi ukumbini.

Mwenyekiti wa kamati ya vinywaji Edson Kamukara (kulia) akisakata rumba na mmoja wa wageni waalikwa.

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Ltd, wachapishaji wa gazeti la Jambo Leo, Juma Pinto akizungumza kwenye hafla hiyo.

Kucheza muziki kwaitaji hisia zaidi, baadhi ya wageni waalikwa wakilisakata rumba...!

Kucheza muziki kwaitaji hisia zaidi, mmoja wa wageni waalikwa (kulia) akisakata rumba...!
No comments:
Post a Comment