Pages

Saturday, August 2, 2014

ALI KIBA ATUA GLOBAL TV ONLINE, AELEZEA ALIVYOJIANDAA KWA MAKAMUZI YA USIKU WA MATUMAINI 2014

Ali Kiba akifafanua jambo wakati akihojiwa  ndani ya studio za Global TV Online.
Ali Kiba akiwa ametulia mbele ya kamera za Global TV Online.
Mhariri wa Risasi Jumamosi, Erick Evarist akiongea jambo na Ali Kiba.
Ali Kiba (katikati) akisoma stori ya 'Ali Kiba Vs Diamond wanagombea ufalme' iliyoandikwa katika Gazeti la Championi Ijumaa leo. Wengine pichani ni wahariri wa Global, Sifael Paul (kulia), Erick Evarist (kushoto).

Wafanyakazi wa Global wakiongea jambo na Ali Kiba kabla ya mahojiano na Global TV Online.
Mhariri wa Ijumaa Wikienda, Sifael Paul (kulia) akiwa na Ali Kiba.
Ali Kiba akiwa na Mhariri Msadizi wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli (kulia).
Kiongozi wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari wa Global, Clarence Mulisa (kulia) akiwa katika pozi na Ali Kiba.
STAA wa Bongo Fleva nchini, Ali Kiba leo ametinga ndani ya studio za Global TV Online na kufanya 'Exclusive Interview' ambapo ameeleza mambo kibao. Miongoni mwa mambo aliyozungumza mkali huyo ni maandalizi ya kufa mtu aliyoyafanya kwa ajili ya Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Agosti 8, mwaka huu. Kuona mahojiano hayo na staa huyo, usikose kuangalia Global TV Online wiki ijayo na kusoma magazeti ya Global Publishers.
(PICHA NA ANDREW CAROS/GPL)

No comments:

Post a Comment