Pages

Sunday, August 3, 2014

CHAMELEONE AFUNIKA MJINI DODOMA

Taswira mbalimbali za makamuzi ya mwanamuziki nguli kutoka nchini Uganda, Jose Chameleone ndani ya Klabu Maisha iliyopo mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Chameleone akiwapagawisha mashabiki wake mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo.
Msanii Y-Tony naye alikuwepo kutoa burudani kwa mashabiki ndani ya Maisha Club, Dodoma.

Mashabiki wakipagawa na shoo ya Chameleone.
(Picha na Pamoja Blog)

No comments:

Post a Comment