Pages

Saturday, August 2, 2014

JOSE CHAMELEONE AFANYA MAKAMUZI MAISHA CLUB DAR

Msanii mkubwa wa Uganda, Joseph Mayanja 'Dr Jose Chameleone' akitoa burudani usiku wa kuamkia leo Maisha Club jijini Dar.
...Burudani ikiendelea ndani ya Maisha Club.
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Professor Jay ( kulia) akitoa burudani na Jose Chameleone.
Jose Chameleone akicheza na shabiki wake.
...Akiendelea kucheza na wanadada waliopanda jukwaani.
Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee 'Vee Money' akitoa burudani.
...Mashabiki wakiendelea kuburudika.
Msanii wa Bongo Fleva anayesimamiwa na Wema Sepetu kupitia Endless Fame,  'Mirror' akitoa burudani ukumbini.
(PICHA: MUSA MATEJA, SHAKOOR JONGO/GPL)

No comments:

Post a Comment