Nisha Msanii wa Bongo Movies
Amehabarisha na Kusema Bado Hajaona Mwanaume Ambae Atakuwa Baba wa
Watoto Wake Kwani kila Mwanaume Anayemtongoza na kumtaka Kimapenzi Haoni
Kama anaweza kuwa Baba Mzuri wa familia na Kulea Watoto Ipasavyo
“Nahitaji
Kutuliza Akili na Kufikiria hili Swala kwa Makini Kwani Ishu ya Kuzaa
na Kulea Mtoto ni nyeti sana Nisije Nikakurupuka nikaambulia Garasha na
Kuambulia Kulia” Nisha
SOURCE: UDAKU LEO
No comments:
Post a Comment