Pages

Sunday, August 3, 2014

Picha: Kwa Gari Jipya na Zawadi ya Shilingi Milioni 250, Harusi ya Pastor Myamba ni Funika Bovu!

myama
Kwa ukubwa wa zawadi aliyopewa, huenda harusi ya Pastor Myamba ikawa harusi ya staa wa Tanzania iliyofana na yenye stunts zaidi. 
 
Muigizaji huyo wa filamu aliukimbia mji wa Dar na kwenda kufungia harusi yake visiwani Zanzibar ambako hakuishia kualika mastaa wenzie tu, bali pia zawadi alizopewa, zinatosha kuanzisha kampuni yake nyingine. 
Kwa mujibu wa JB aliyehudhuria harusi hiyo, Pastor Myamba na mkewe wamezawadiwa pamoja vitu vingine, gari jipya na pesa taslimu shilingi milioni 250!! 

No comments:

Post a Comment