Pages

Tuesday, August 12, 2014

Rihanna Kwenye Cover La W Magazine Na Kate Moss Na Naomi Campbell

Wanasema Rihanna angeshindwa kufanya vizuri kwenye muziki angefanya vizuri kama mwanamitindo, wengine huthubutu kusema anafaa amiliki jarida lake la mitindo sababu anapendezea kazi hio.
Jipya kwenye mitandao sasa ni kuhusu Rihanna kukava jarida la W na wanamitindo wakubwa watatu ambao ni Kate Moss,Naomi Campbell na mwanamitindo mwanaume Iman.
Ndani ya W Magazine anaweka pozi kali kama mwanamitindo mwenye muda mreu kwenye kazi hii akiwakabili wanamitindo watatu wenye zaidi ya miaka 50 kwa pamoja kwenye kazi hii. #histoRIH.
Rihanna-and-Iman-and-Naomi-Campbell-3Rihanna-and-Iman-and-Naomi-Campbell-4Rihanna-Iman-and-Naomi-CampbellRihanna-Iman-and-Naomi-Campbell-in-W-MagazineRihanna-x-W-Magazine-September-2014-issue-1Rihanna-x-W-Magazine-September-2014-issue-5

No comments:

Post a Comment