Pages

Saturday, August 9, 2014

ROMA MKATOLIKI AFUNIKA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014

Roma Mkatoliki akiwarusha vilivyo wapenzi wa burudani waliofurika katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia leo.
Roma Mkatoliki akiongea na mashabiki wake.

Mashabiki wakiendelea kucheza na Roma.
Roma Mkatoliki akiendelea kufanya makamuzi.

No comments:

Post a Comment