Mapenzi ya Shilole na Msanii mwenzake Nuh Mziwanda yamerudi tena baada
ya wawili hao kupatanishwa na watu wao wa karibu, kwa mujinbu wa Shilole
anadai kuwa Nuh amerudisha mabegi yake ya nguo kwa Shishi pamoja na
vitu vingine ambavyo alivichukua nyumbani kwa mwanadada huyo baada ya
kugombana juzi usiku, na hiyo ilikua ni baada ya Nuh kuzifumania msg
ambazo alihisi zilikua zinatoka kwa mwanaume ambaye ana mahusiano ya ki
ngono na Shilole.
No comments:
Post a Comment