Pages

Saturday, September 27, 2014

MASHINDANO YA VIPAJI VYA WANAWAKE (WOMEN TALENT SYSTEM) YALIVYOFANA KATIKA HOTELI YA JB BELMONT

 Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Azikiwe, Fabiola Massula (kushoto) akizungumza katika hafla hiyo. Kulia ni Mshereheshaji wa shoo hiyo. Benki hiyo ni mmoja wa wadhamini wa shoo hiyo.
Mkurugenzi wa Women Talent System, Angels Howell (katikati) akizungumza jambo kuhusiana shoo hiyo (kulia kwake), Meneja kutoka Mmi Tanzania, Paolo Frattari.
Rais wa Shirikisho la Dunia la mchezo wa Karate (UPAM), Profesa  Martina Maurizio (kushoto), akipiga makofi kushiria kufuraishwa na jambo wakati wa mashindano ya vipaji vya wanawake (WOMEN TALENT SYSTEM) ilifanyika Septemba 25,2014 katika Hotel ya JB BELMONT jijini Dar es Salaam.
Wasanii na wageni waalikwa wakifuatilia shoo hiyo.

Wasanii wa Urusi wakionesha umahiri wa kucheza dansi kwenye Shindano la kutafuta vipaji kwa wanawake lililofanyika Dar es Salaam juzi. Shindano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Wanawake Yenye Vipaji Tanzania (Women Talent System).  
 Rais wa Shirikisho la Dunia la mchezo wa Karate (UPAM), Profesa  Martina Maurizio akionesha uwezo wake wakuvunja vibao kwakutumia mkono.

Profesa  Martina Maurizio akionesha umahiri wa kuvunjwa  jiwe lilokuwa limewekwa kifuani kwake kwa kutumia nyundo.
Wasanii wa Urusi wakionesha umahiri wa kucheza dansi kwenye Shindano  hilo.
.
Picha na Mtandao wa www.habari za jamii.com
Tel:+255786858550

No comments:

Post a Comment