Pages

Sunday, January 11, 2015

MBUNGE WA MBEYA MJINI APATA AJALI MLIMA KITONGA JANA


Muonekano wa gari la Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' baada ya gari lao kupata hitilafu ya breki na kupinduka mlima Kitonga jana.

Gari ya mbunge huyo baada ya kupinduka.
Mbunge wa Mbeya Mjini  Joseph Mbilinyi, akiwa na wenzake watatu akiwemo Katibu wake, Kwame Anangise, Eddy na Kiboya wameumia na kukimbizwa hospitali mjini Iringa baada ya gari lao kupata hitilafu ya breki na kupinduka mlima Kitonga jana.

No comments:

Post a Comment