Ni miaka 13 toka kundi la TLC wametoa album, baada ya kifo cha mmoja
wa wasanii wa kundi hilo Lisa “Left Eye” Lopes mwaka 2002 kundi hili
lilipotea abisa kwenye muziki.
Jipya ni kwamba wasanii wawili waliobaki kwenye kundi hili Chilli na
T-Boz wamezindua rasmi kampeni ya Kickstarter inayoruhusu mashabiki wa
kundi hili kuchanga pesa za kuwezesha kundi hili kurekodi album yao
ambayo wamesema ndio ya mwisho. Album inategemewa kutoka May.
No comments:
Post a Comment