Pages

Friday, February 20, 2015

MEZ B AFARIKI DUNIA LEO DODOMA

Msanii wa Chemba Squad, Moses Bushagama  ‘Mez B’ enzi za uhai wake.
MSANII wa Chemba Squad, Moses Bushagama  ‘Mez B’ amefariki leo saa nne asubuhi mkoani Dodoma ambapo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa pneumonia.

No comments:

Post a Comment