Staa aliyepata umaarufu kupitia Shindano la Maisha Plus, Jacqueline
Dustan amefunguka kuwa mastaa wamepachikwa nembo ya kuwa ni vinara wa
kubeba waume za watu jambo ambalo linawapa sifa mbaya.
Akizungumzia mwenendo wa mastaa wengi kuhusishwa na skendo ya kutembea na waume za watu, Jack alisema:
“Yaani sisi mastaa tumepachikwa nembo ya kupora waume za watu. Imefika
wakati hata kama umempata mpenzi wako mtu anakuuliza umempora nani. Huwa
inaniuma sana.“Kimsingi tuna sifa mbaya na tusipobadilika waume za watu
hawa watatuua.”
No comments:
Post a Comment