Ustaa kazi: Baada ya kuchoshwa na maneno ya watu kuhusu maisha yake
binafsi, staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford ameamua kuweka wazi
msimamo wake kwa mashabiki zake wote.
“Siku zote nimekuwa muoga kuishi maisha yangu kwa kuogopa watu but
hao watu naowaogopa hata siku moja hawajawahi kuogopa kuishi maisha yao
kwa kuniogopa mm..from today nitaishi nitakavyo mimi na kufanya kile
ambacho nahic kinafaida na kunifurahisha katika maisha yangu.Mashabiki
wangu wa ukweli kabisaa alionipangia Mungu hata niweje hawawezi Kunitoka
na nitaendelea kuwapenda na kuwaheshimu kila siku..I love my family….” –Shamsa ameandika hayo leo kwenye ukurasa wake mtandaoni.
No comments:
Post a Comment