Akipiga stori na Over The Weekend, Shilole
alisema kuwa anajua kwamba kitendo hicho kimewakwaza wengi na
hakukusudia kufanya jambo kama lile. “Nimejifunza mengi na naendelea
tena kuomba msamaha kuwa tatizo hili halitajitokeza tena ,niwaombe radhi
kina mama na mashabiki wangu,” alisema. Shilole alifanya tukio hilo
alipokuwa jijini Antwepen, Ubelgiji kwenye shoo ambapo aliongozana na
mpenzi wake,Nuh Mziwanda.
No comments:
Post a Comment