Pages

Saturday, June 20, 2015

BLAC CHYNA AFANYIWA UPASUAJI KUFANANA NA KYLIE JENNER

Staa wa michezo ya nusu utupu, Angela Renée White ‘Blac Chyna’.
New York, Marekani
STAA wa michezo ya nusu utupu, Angela Renée White ‘Blac Chyna’ amefanyiwa upasuaji wa sura na kufanana na mwanamitindo, Kylie Jenner.
Blac kwa sasa yupo katika bifu na mwanamitindo huyo baada ya kuchukuliwa baba watoto wake, Michael Ray Nguyen-Stevenson ‘Tyga’.
“Mwanzoni Kylie alikuwa akitaka afanane kama Blac Chyna lakini imekuwa kinyume kwani Blac alilisikia hilo na kuanza kufanya yeye upasuaji ili afanane na Kylie,” kilisema chanzo.

No comments:

Post a Comment